Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi, akikagua tenki la maji la Amboni lilojengwa miaka ya 1960 ambalo Serikali inaendelea kulikarabati  ili kuwezesha upatikanaji wa maji katika Mji wa Rombo mkoani Kilimanjaro.