Naibu Waziri wa Maji Eng. Maryprisca Mahundi amewataka watendaji wa Wizara kuacha kufanya kazi kwa mazoea, badala yake wajielekeze katika kutatua kero za wananchi kwa weledi.
Eng. Mahundi ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la mradi wa Maji wa Mbulizaga uliopo Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga unaosimamiwa na Wakala wa usambaji maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA)
0 Comments
Post a Comment