Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi akiteta jambo na Waziri wa Maji Jumaa Aweso katika kikao cha Bunge kinachoendelea Jijini Dodoma.