Waziri wa Ardhi William Lukuvi akizindua Mpango wa Kitaifa wa Urasimishaji Makazi uliofanyika katika Kijiji cha Igawa kata ya Igawa Wilayani Mbarali mkoani Mbeya, wengine katika picha kutoka kushoto, ni Mkuu wa Wilaya Mbarali Reuben Mfune, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera, ,Kaimu Mkaguzi mkuu wa ndani wa Benki ya NMB Benedicto Baragomwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo, na Mkufunzi Chuo cha Ardhi Dkt Victoria Mwakalinga.

   Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akipongezana na Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB Benedicto Baragomwa mara baada ya uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Urasimishaji Makazi katika Kijiji cha Igawa Wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

   Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akiwa na Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB Benedicto Baragomwa wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Urasimishaji Makazi, uzinduzi ambao umefanyika Kitaifa kata ya Igawa Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya.

   Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani ya Benki ya NMB Benedicto Baragomwa akielezea mpango wa NMB wa kushirikiana na Wizara ya Ardhi katika kuwawezesha Wananchi kufikia malengo ya umiliki wa ardhi wakati wa Mpango wa uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Urasimishaji Makazi wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

   Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wakazi wa Kata ya Igawa Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya(hawako pichani)umuhimu wa kurasimisha ardhi kwa ajili ya maendeleo endelevu ya watu na Makazi.

   Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akimnyanyua mkono Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ikiwa ni ishara kukamilisha kwa uzinduzi wa mpango wa Kitaifa urasimishaji makazi ambao umeanzia wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akimtambulisha Mkufunzi wa Chuo cha Ardhi Dkt Victoria Mwakalinga wakati wa uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Urasimishaji Makazi uliofanyika wilayani Mbarali Mkoani Mbeya.

   Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akimpa maelekezo Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB mara baada ya kukamilisha uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa urasimishaji Makazi uliofanyika Igawa wilayani Mbarali mkoani Mbeya, wengine katika picha ni Vicky Bishubo(NMB)Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo na Mkufunzi wa Chuo cha Ardhi Dkt Victoria Mwakalinga.