Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ametoa mchango wa mifuko 200 ya saruji katika Shule ya Sekondari Itezi iliyopo Jijini humo ili kusaidia ujenzi wa madarasa katika shule hiyo ambayo imekuwa na uhaba wa madarasa kwa muda mrefu.
0 Comments
Post a Comment