*MHE.DR TULIA ACKSON (MCC) ASHIRIKI UCHAGUZI NGAZI YA SHINA* 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), leo Aprili 16, 2022 ameshiriki zoezi la uchaguzi wa Mwenyekiti wa Shina (Balozi) namba 1 na Wajumbe wake wanne katika Tawi la Sisimba, kata ya Sisimba Jijini Mbeya