MASACHE AZINDUA ZAHANATI ITUMBA AKUSANYA 6.5 KATIKA HARAMBEE
Mbunge wa Jimbo la Lupa Mhe. Masache Kasaka, leo tarehe 9/5/2022 amezindua zahanati kijiji cha Itumba Kata ya Chalangwa Wilaya Chunya Mkoani Mbeya.
Uzinduzi wa Zahanati umenda sambamba na harambee ya kuchangia upauaji nyumba ya Mganga ambapo jumla ya shilingi milioni 6.5 zimepatikana.
0 Comments
Post a Comment