Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi Arumeru Mkoani Arusha kwenye ziara aliyoambatana na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Aidha Mahundi amesema Wizara imeelekeza jumla ya shilingi bilioni 8 zitaondoa kabisa changamoto zote za Maji Arumeru.
Jumla ya shilingi bilioni 500 zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maji Mkoa wa Arusha ambapo imefikia asilimia 98.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi Arumeru Mkoani Arusha kwenye ziara aliyoambatana na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Awali Mahundi amesema Wizara ya Maji jumla ya shilingi milioni 650 zimekamilisha mradi wa maji USA River ambapo utakamilika mwaka wa fedha hivyo amemwagiza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Arusha kufanya marekebisho ndani ya wiki mbili ili wananchi wapate maji safi na salama.
Aidha Mahundi amesema Wizara imeelekeza jumla ya shilingi bilioni 8 zitaondoa kabisa changamoto zote za Maji Arumeru.
Mahundi amemshukuru na amemhakikishia Rais miradi yote itakamilika ili dhamira ya kumtua Mama ndoo kichwani inakalika.
0 Comments
Post a Comment