Naibu Waziri wa Maji Mhandisi
Maryprisca Mahundi amewapongeza viongozi wa chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya
Kahama Mkoa wa Shinyanga kutokana na usimamizi mzuri wa Ilani ya CCM.
Amesema CCM imekuwa na ikitoa
ushirikiano mzuri kwa Wakala wa Usambazaji Maji Vijijini RUWASA kutokana
usimamizi mzuri wa miradi ya Maji vijijini.
Amesema Wizara ya Maji itaendelea
kutekeleza vyema ilani ya chama kinachotawala hususani katika kusimamia kwa
karibu miradi yake ili kusaidia kupunguza kero za maji kote nchini.‘’Tumedhamiria kwa dhati kabisa
kumtua Ndoo Maji Mama Kichwani, tumejipanga kauli mbiu yetu ya Maji Bombani
inatimia katika serikali ya awamu ya tano’’amesema Naibu Waziri wa Maji
Mhandisi Maryprisca.
0 Comments
Post a Comment