Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi(Mb)akiwa studio za Clouds Fm Dar es Salaam akielezea utekelezaji wa miradi ya maji nchini ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya maji ambayo kilele chake ni machi 22,2022.