Naibu Waziri Kilimo Mhe. Mavunde leo ametembelea Wilaya ya Chunya, kata ya Nkung'ungu kukagua Shamba Ekari 17,000 linalofaa kwa kilimo cha Soya. Mwekezaji tayari ameshapatikana kuwekeza wilayani Chunya. Naibu Waziri ameambatana na Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wa Lupa-Chunya Mhe Masache Kasaka
Naibu Waziri Kilimo Mhe. Mavunde Ziarani Chunya
Naibu Waziri Kilimo Mhe. Mavunde leo ametembelea Wilaya ya Chunya, kata ya Nkung'ungu kukagua Shamba Ekari 17,000 linalofaa kwa kilimo cha Soya. Mwekezaji tayari ameshapatikana kuwekeza wilayani Chunya. Naibu Waziri ameambatana na Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wa Lupa-Chunya Mhe Masache Kasaka
0 Comments
Post a Comment