Wakulima watakiwa kuzalisha kwa wingi soko la mazao nchi za Africa Mashariki na kati.

Na mwandishi wetu,Mbeya

BODI ya nafaka na mazao mchanganyiko nchini imewataka wakulima na wafugaji  kuendelea kuzalisha kwa bidii kwani soko la mazao bado ni kubwa katika ukanda nchi za Africa Masharikia na kati 

Rai hiyo imetokelewa na Mhandisi Fredy Mbilinyi afisa kutoka bodi ya nafaka na mazao mchanganyika akiwa katika viwanja vya maonyesho ya wakulima nane nane jiji Mbeya.

Mhandisi Mbili alakitoa afafanuzi namna bodi hiyo ilivyojipanga kusaka masoko ya mazao na bidha zinazozalishwa na wakulima hapa nchini.

 Alisema Mpa sasa bodi hiyo imeshafungua vituo vya mauzo ya bidhaa kutoka Tanzania katika za Mji wa Juba nchini Sudani Kusini,Jumuhuri ya Demokrasia watu wa Congo, Kenya na Zambia

Katika hatua nyingine Waziri wa Mifugo Mashimba Ndaki akiwa katika zoezi la kukagua na kuangalia madanda ya maonyesho alitwaka watumishi umma kuwasidia wakulima na kutoa elimu ili teknologia zinaonyeshwa zitolewa kwa wakulima ambao ndiyo waliengwa wakuu.

"Ni wasiii watalaamu wetu tunachomiona kwenye maonyesho hayo ni vemaa mwakani tunapokuja kama ni ng'ombe aliyefungwa kisasa tumkute kwa mfugaji mwenyewe hii ndiyo itakuwa maana halisi ya Maonyesho" alisema Ndaki