Jandwa amesema kuwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii unapokea wanachama kutoka sekta zote za binafsi kujiunga na mfuko wa hifadhi ya Jamii.
Amesema kauli mbiu ya mwaka huu ya "Huduma Bora, Kipaumbele chetu"itazingatia nidhamu na heshima kwa wateja wetu.
Kadhalika amewashauri waajiri kutekeleza wajibu wao kwa kuwaandikisha wafanyakazi wao ili wanufaike na huduma ya mfuko wa Hifadhi ya Jamii ambao manufaa yake yanawawezesha wastaafu kujipatia mafao yao ya uzeeni.

Amesema NSSF itaendelea kutoa elimu kwa waajiri na wafanyakazi ambapo matokeo yake yamekuwa yakisaidia waajiri na wafanyakazi kutoa michango ya wanachama kwa wakati.
MFUKO WA HIFADHI YA JAMII NSSF MBEYA ULIVYOADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA.
Mfuko wa Hifadhi ya Taifa ya Jamii NSSF mkoa wa Mbeya umeungana na taasisi zingine Duniani kwa kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja duniani.
Meneja wa NSSF Mkoa wa Mbeya Deus Jandwa ameelezea dhamira ya Mfuko wa Hifadhi ya Taifa ya jamii katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja akiwahamasisha Wananchi walioko sekta rasmi kujiunga na mfuko wa NSSF ili kunufaika na mafao ya mfuko huo.
Jandwa amesema kuwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii unapokea wanachama kutoka sekta zote za binafsi kujiunga na mfuko wa hifadhi ya Jamii.
Amesema kauli mbiu ya mwaka huu ya "Huduma Bora, Kipaumbele chetu"itazingatia nidhamu na heshima kwa wateja wetu.
Kadhalika amewashauri waajiri kutekeleza wajibu wao kwa kuwaandikisha wafanyakazi wao ili wanufaike na huduma ya mfuko wa Hifadhi ya Jamii ambao manufaa yake yanawawezesha wastaafu kujipatia mafao yao ya uzeeni.
Amesema NSSF itaendelea kutoa elimu kwa waajiri na wafanyakazi ambapo matokeo yake yamekuwa yakisaidia waajiri na wafanyakazi kutoa michango ya wanachama kwa wakati.
Jandwa amefafanua kubwa inapotokea mwajiri anashindwa kutekeleza wajibu wake wa mfanyakazi wake kutojiunga na huduma ya mafao ya NSSF.
Amefafanua kuwa huduma za NSSF zimerahisishwa kwa waajiri na Wafanyakazi ambapo kwa sasa wanaweza kuingia kwenye mfumo wa NSSF wa Emproyer Portal kwa waajiri na Member Portal kwa njia za kielektroniki na kujaza kila kitu bila kufika Ofisini.

0 Comments
Post a Comment