• Home
  • News
  • Features
  • _Featured Posts
  • _Post Layouts
  • __Left Sidebar
  • __Full Width
  • __Right Sidebar
  • _Contact Page
  • _Error Page
  • _Simple Page
  • Tipography
  • Shortcodes

mbeyayetuonlinetv

  • Home
  • HABARI
  • MICHEZO
  • BIASHARA
  • SIASA
  • _Simple Page
  • Tipography

.

mbeyayetuonlinetv

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na Wanariadha Gabriel Geay na Wence Tarimo walioshiriki katika Mashindano ya Riadha yaliyofanyika Boston, Marekani tarehe 17 Aprili 2023.

Byb April 18, 2023
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na Wanariadha Gabriel Geay na Wence Tarimo walioshiriki katika Mashindano ya Riadha yaliyofanyika Boston, Marekani tarehe 17 Aprili 2023. 
Gabriel Geay aliibuka mshindi wa pili katika mashindano hayo. Mheshimiwa Rais Mstaafu amempongeza Gabriel Geay kwa ushindi mkubwa na kwa kupeperusha vyema bendera ya Tanzania. 
Pamoja na wanariadha hao, walikuwepo pia wahamasishaji mbalimbali akiwemo “Bongo Zozo”. Amewapongeza pia kwa kuhamasisha ushindi huu na kufanikisha kuinua bendera ya Tanzania juu. 
Mheshimiwa Rais Mstaafu yuko Boston, Marekani ambapo anashiriki katika kutoa mafunzo kwa Mawaziri wa Fedha kutoka nchi mbalimbali zinazoendelea kupitia Mpango wa Uongozi wa Harvard “Harvard Ministerial Leadership Program”. Katika mafunzo hayo, Mhe. Saada Mkuya, Waziri wa Fedha wa Zanzibar ameshiriki pia.
Previous Post Next Post

Related Posts

0 Comments

Post a Comment

Popular Posts

WAZIRI LUKUVI AIFUMUA IDARA YA ARDHI HALMASHAURI YA WILAYA CHAMWINO.

WATAALAMU WA AFYA NCHINI WAHAMASISHWA KUWA WABUNIFU ILI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI

WANAWAKE WAONGOZA KUCHUKUA FOMU ZA UDIWANI KATA YA KIMBIJI

Report Abuse

Recent Posts

about-text

Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry. Lorem Ipsum has been the industry's standard dummy text ever since the 1500s.

Email: josephmwaisango@gmail.com

Search This Blog

Popular Posts

WAZIRI LUKUVI AIFUMUA IDARA YA ARDHI HALMASHAURI YA WILAYA CHAMWINO.

PROF MARK MWANDOSYA ATOA USHUHUDA MZITO KWA WATANZANIA

Social Widget

Design by Blogger Templates

Contact Form