Ni Maalumu kwa Siku ya Wapendanao.
Naibu Waziri wa Maji Mbunge Viti Maalumu mkoa wa Mbeya,Mhandisi Maryprisca Mahundi, Mbunge mwakilishi wa Wazazi Taifa Bahati Ndingo na Mbunge Viti Maalumu mkoa Mbeya Suma Fyandomo.
Waheshimiwa hawa Wanatumia fursa hii kuwatakia heri katika siku Maalumu ya Wapendanao(VALENTINE DAY) ndugu jamaa na marafiki wote.
Ujumbe Maalumu kwa Wapendanao Wote.
"Tudumishe Upendo Umoja na Mshikamano"
0 Comments
Post a Comment