Naibu Waziri
wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi ameendeelea kutoa Wito na Maagizo kwa Watendaji
na Mameneja wa Wakala wa Maji RUWASA walioteuliwa hivi karibu kuhakikisha
wanakwenda kufanya kazi kwa ushirikiano.
Mhandisi
Maryprisca pia amewataka kuhakikisha wanawajibika ipasavyo huku wakisimamia
kauli mbiu ya RUWASA ya Maji Bombani na wananchi wahakikishiwe wanapata maji ya
uhakika kwa wakati.
‘’Mkatoe
Ushirikiano kwa Viongozi wa maeneo mnayokwenda kufanya kazi’’Amesema Mhandisi
Maryprisca Mahundi.
0 Comments
Post a Comment