Naibu Waziri wa Maji Injinia Maryprisca Mahundi ameshiriki mkutano maalumu wa Maji ya Kimataifa wa mwaka 1992 kwa njia ya mtandao utakaodumu kwa siku 3 mfulululizo kuanzia Sept 29 hadi Okt 1, 2021.