Kamishna Jenerali wa Misitu-TFS Prof. Dos Santos Silayo amemtembelea ofsini Mbunge wa Chunya Mhe Masache Kasaka. Wamejadili masuala mbalimbali na kuweka mikakati ya usimamizi wa rasilimali za misitu na nyuki, utunzaji mazingira, vyanzo vya maji na Masuala upandaji miti wilayani Chunya.
0 Comments
Post a Comment