Mkurugenzi Mtendaji wa
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya Dkt. Godlove Mbwanji leo amefanya mazungumzo
na timu ya viongozi kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT), Baraza la
Madaktari Zanzibar (ZMC), Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU), Uongozi wa Chuo
Kikuu cha Dar Es Salaam Ndaki ya Afya Mbeya (UDSM-MCHAS) na BARAZA LA TAIFA LA
ELIMU YA UFUNDI (NACTE) wakiongozwa na Dkt. Elisha Osati, Mwenyekiti MCT potembelea ofisini kwake katika ziara ya kuangalia ubora wa taaluma inayotolewa katika vyuo vikuu.
Dkt. Mbwanji amewaahidi viongozi hao kuendelea kudumisha ushirkiano kati ya Chuo Kikuu UDSM-MCHAS, Mabaraza ya usimamizi wa taaluma na Hospitali ya Rufaa
0 Comments
Post a Comment