Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (kulia)
akishiriki Matembezi ya ufunguzi wa wiki ya sheria Kitaifa Mkoani Dodoma Januari
27,2024. Matembezi hayo yaliongozwa na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Akson na viongozi
wengine mbalimbali wa Makama. Maadhimisho ya Wiki ya sharia yalianza Januari
24,2024 na yanataraji kufikia tamati Februari 1, mwaka huu.
0 Comments
Post a Comment