Masache na Kamati ya Bunge Miundo Mbinu Wakagua Reli ya Standard Gage
Mbunge wa Lupa-Chunya mh. Masache kasaka akiwa na wajumbe wenzake wa kamati ya Bunge ya Miundombinu, wakiwa kwenye ziara ya siku mbili kuikagua reli ya mwendokasi SGR, Kuanzia Dodoma adi Kituo kikuu Dar es Salaam. Ujenzi unaendelea vizuri na umekamilika eneo kubwa na itaanza kutumika mwezi wa nane 2021.
0 Comments
Post a Comment