Naibu Waziri wa Maji Meryprisca Mahundi April 10 ,2021 ameanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma ambapo atapata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali ya Maji Mkoani humo inayotekelezwa na Serikali.