Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Richard Kayombo  akitoa ufafanuzi kwa Wanahabari Mkoani Mbeya walioshiriki Warsha ya siku moja kutoka TRA.Mamlaka ya Mapato imeelezea malengo yake ya kukusanya Trilion 22.18 kwa bajeti ya mwaka 2021-2022.

Baadhi ya Waandishi wa Habari mkoa wa Mbeya wakifuatilia kwa makini maelekezo juu ya mipango ya utendaji ya Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuwafikia walipa kodi nchini.


Afisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Rachel Mkundai akitoa maelekezo kwa Waandishi wa Habari Mkoa Mbeya juu ya lengo la TRA la kuwajengea uwezo wanahabari juu ya Elimu kwa Mlipakodi.


Afisa Uhusiano Idara ya Elimu Huduma  kwa Mlipa Kodi Arafa Ame Makame akifuatilia kwa makini maelekezo ya Mkurugenzi wa Huduma Elimu kwa Mlipakodi Richard Kayombo alipokuwa akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa waandishi wa habari.

Baadhi ya Wanahabari mkoa Mbeya wakichukua taarifa maelezo ya Mkurugenzi wa Huduma Elimu kwa Mlipakodi Richard Kayombo alipokuwa akifafanua mpango wa TRA katika ukusanyaji kodi kwa njia rafiki ulivyofanikisha malengo ya serikali.